January 22, 2025

NEWS

Recent Categories


Recent Posts


Post Archive


Catogery Tags


  • MAANDALIZI NA MICHUANO YA AFRIKA

    Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania cha Pool Table kimeendelea na mazoezi katika club ya Sniper Mwenge Mpakani kujiandaa na michuano ya Afrika itakayofanyika nchini Afrika kusini Oktoba 11 hadi 16 mwaka huu. Wachezaji hao chini ya kocha mkuu Denis Lungu wanafanya mazoezi kila siku kuanzia saa sita mchana hadi saa moja na nusu…

    Know More